[00:00.00]时代音乐网 www.78497.com [00:08.64]Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo [00:12.90]Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo [00:17.34]Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo [00:21.64]Mara mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo [00:25.05]Ah sikujua mapenzi balaa tena ni maradhi ya moyo kupendaga [00:30.15]Tena mapenzi karaha yanajenga chuki na choyo kwenye cover [00:34.78]Utu wangu na thamani ina maana kweli hakuvijua [00:39.54]Licha ya burudani ya mapenzi yangu akatimua [00:43.76]Utu wangu na thamani ina maana kweli hakuvijua [00:47.89]Uhuni jaa burudani mtaani akaamua kutimua [00:51.88]Inaniuma sana [00:53.01]Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo mhh mawazo [00:56.59]Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo mmh kikwazo [01:00.87]Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo nipunguze mawazo [01:05.26]Mara mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo nna mawazo [01:10.49]Nikikumbukia [01:11.76]Ubongo unapata mawazo [01:14.82]Nikikumbukia [01:15.92]Ubongo unapata mawazo [01:19.21]Nikikumbukia [01:20.47]Ubongo unapata mawazo [01:23.58]Nikikumbukia [01:24.56]Ubongo unapata mawazo [01:27.26]Yule jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu [01:31.47]Ameleta tafarani naumia nalia na moyo wangu [01:35.90]Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu [01:40.24]Ameleta tafarani mwenzenu nalia na moyo wangu [01:44.65]Kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ninaumia [01:49.14]Kweli wapendanao ndo maadui zikitimia [01:53.37]Lile tinga langu la maraha leo limekuwa sumu kwangu [01:57.74]Ona tena sina raha ninacheka nnalia na moyo wangu [02:01.98]Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo uhh mawazo [02:06.31]Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo oh kikwazo [02:10.54]Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo mawazo [02:15.16]Mara mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo [02:20.36]Nikikumbukia [02:21.33]Ubongo unapata mawazo [02:24.69]Nikikumbukia [02:25.72]Ubongo unapata mawazo [02:28.64]Nikikumbukia [02:30.29]Ubongo unapata mawazo [02:32.84]Nikikumbukia [02:34.29]Ubongo unapata mawazo [02:37.17]Utu wangu na thamani ina maana kweli hakuvijua [02:41.67]Licha ya burudani ya mapenzi yangu akatimua [02:45.94]Utu wangu na thamani ina maana kweli hakuvijua [02:50.42]Licha ya burudani ya mapenzi yangu akatimua
LRC动态歌词下载
[00:00.00]时代音乐网 www.78497.com[00:08.64]Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
[00:12.90]Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo
[00:17.34]Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
[00:21.64]Mara mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo
[00:25.05]Ah sikujua mapenzi balaa tena ni maradhi ya moyo kupendaga
[00:30.15]Tena mapenzi karaha yanajenga chuki na choyo kwenye cover
[00:34.78]Utu wangu na thamani ina maana kweli hakuvijua
[00:39.54]Licha ya burudani ya mapenzi yangu akatimua
[00:43.76]Utu wangu na thamani ina maana kweli hakuvijua
[00:47.89]Uhuni jaa burudani mtaani akaamua kutimua
[00:51.88]Inaniuma sana
[00:53.01]Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo mhh mawazo
[00:56.59]Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo mmh kikwazo
[01:00.87]Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo nipunguze mawazo
[01:05.26]Mara mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo nna mawazo
[01:10.49]Nikikumbukia
[01:11.76]Ubongo unapata mawazo
[01:14.82]Nikikumbukia
[01:15.92]Ubongo unapata mawazo
[01:19.21]Nikikumbukia
[01:20.47]Ubongo unapata mawazo
[01:23.58]Nikikumbukia
[01:24.56]Ubongo unapata mawazo
[01:27.26]Yule jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu
[01:31.47]Ameleta tafarani naumia nalia na moyo wangu
[01:35.90]Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu
[01:40.24]Ameleta tafarani mwenzenu nalia na moyo wangu
[01:44.65]Kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ninaumia
[01:49.14]Kweli wapendanao ndo maadui zikitimia
[01:53.37]Lile tinga langu la maraha leo limekuwa sumu kwangu
[01:57.74]Ona tena sina raha ninacheka nnalia na moyo wangu
[02:01.98]Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo uhh mawazo
[02:06.31]Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo oh kikwazo
[02:10.54]Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo mawazo
[02:15.16]Mara mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo
[02:20.36]Nikikumbukia
[02:21.33]Ubongo unapata mawazo
[02:24.69]Nikikumbukia
[02:25.72]Ubongo unapata mawazo
[02:28.64]Nikikumbukia
[02:30.29]Ubongo unapata mawazo
[02:32.84]Nikikumbukia
[02:34.29]Ubongo unapata mawazo
[02:37.17]Utu wangu na thamani ina maana kweli hakuvijua
[02:41.67]Licha ya burudani ya mapenzi yangu akatimua
[02:45.94]Utu wangu na thamani ina maana kweli hakuvijua
[02:50.42]Licha ya burudani ya mapenzi yangu akatimua